Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Marasimu za Maombolezo ya Arbaeen kwa ajili ya kuuawa Shahidi Imam Hussein (a.s) yalifanyika katika Kituo cha Kiislamu cha Uingereza huko London, Mji Mkuu wa nchi hii, yakihudhuriwa na idadi kubwa ya wafuasi wa Shule (Madrasat) ya Ahlul-Bayt (a.s).
29 Agosti 2024 - 18:42
Msimbo wa Habari: 1481675